njoo tu
Huyu ndio Atakuwa mpokea mahari dada mkubwa wa ukooAje tunamsubiri inbobo![]()



Heshima yake dada!
Huyu ndio Atakuwa mpokea mahari dada mkubwa wa ukoo![]()
Ongea nayeInabidi nitafute muda niongee nae vzr!![]()

Ukiona mtu akapost chakula katika ya safari ujue hicho chakula ni kitamu balaa then unakuta ukainua simu ukapiga picha
Usinitie majaribuni. Nitakula hiyo mahari bure.
Wewe utakuwa mpangaji mkuu wa mahariUsinitie majaribuni. Nitakula hiyo mahari bure.




Wewe utakuwa mpangaji mkuu wa mahari![]()
Kati ya vitu hivi kipi kinakusumbuaKawaida natakiwa kuamka saa Tisa,
hivyo najitahidi saa mbili niwe kitandani lakini usingizi naweza kuupata saa tano mpaka saa sita..
Eti enhWewe utakuwa mpangaji mkuu wa mahari![]()
sina hata stressKati ya vitu hivi kipi kinakusumbua
1. Stress za sasa.
Labda kama kuna jambo linakunyima raha na amani.
2. Uliteswa na tatizo siku zilizopita. Ambalo yawezekana ndilo unatembelea athari zake.