Black is beautiful
mpaka sasa sijaona selfie yako, nimetafuta sanaBlack is beautiful
Ipo mkuu page za backbencher na wew yako wapi mkuumpaka sasa sijaona selfie yako, nimetafuta sana
Mtoko wa wapi boss au waenda dox hahah
Hahaha..Mtoko wa wapi boss au waenda dox hahah
Picha zangu nyingi tu huko page za juuLeo nimekubahatisha
Mzee baba unapenda sana nyama punguza kidogo red meat
Ongeza nyingine bossHiyo hapo
Kula samaki tu Anne?Vizuri
Nitakuja mwanza kula samaki
NdiyoKula samaki tu Anne?

Seafood ehh mhmhh