SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,935
Good
Good
Kwani wewe unalala masaa mangapi?Wenzangu mnafanyaje mnalala usiku mzima 8hrs?
Wekeni picha basi..
SijaonaTayari mama J
Kwani wewe unalala masaa mangapi?
3-4hrsKwani wewe unalala masaa mangapi?
Tatizo nini hasa la kukosa usingizi?3-4hrs
Mimi...Oohh
Mmhh akina nani hao walinimiss
Awww nilikumiss pia kakaake. Siku hizi umeadimika sana.Mimi...
Kawaida natakiwa kuamka saa Tisa,Tatizo nini hasa la kukosa usingizi?
Sipotei kabisa mdogo wangu. Nipo japo uzi huu siupitii sana kama zamani..Awww nilikumiss pia kakaake. Siku hizi umeadimika sana.
Daah na kweli huu uzi siku hizi watu wengi wameukimbia!Sipotei kabisa mdogo wangu. Nipo japo uzi huu siupitii sana kama zamani..
Mungu ni mwema kabisa, familia iko bien! Hope na wewe uko poa na familia..Daah na kweli huu uzi siku hizi watu wengi wameukimbia!
Vipi lakini mambo mengine familia yako hawajambo?
Bypass au?
Acha kuchoma mainiVita vianze View attachment 1466505
Mara moja moja .Acha kuchoma maini
Wewee mwanamke nini hi