Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Akhsante sanaUkipata majani Yale fresh sasa ndo kiboko yake unatwanga unakunywa na maji ya moto ni nzuri mnooo!!!
Kikubwa unenepe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nafirisika we acha tu
Asubuhi kabla hujala jioni before hujalala ni bonge la dawaAkhsante sana
Nitayatafuta dear [emoji120][emoji120][emoji120]
Nakunywa kwa siku Mara ngapu?na ninatumia kwa Muda gani?
Yaani ukianza kusoma ,unajikuta tu unasoma na kusoma.
In short agano jipya huwa linanisisimua sana,Ufunuo wa Yohana kidogo ndio huwapa naona Kama natoka kapa hivi.
Yaani kile kitabu[emoji119][emoji119]Sasa Ufunuo ni series..
Inabidi uivest time uende step by step..!ukiskip hata pharagraph moja unatoka nje ya reli.
Spare time for it.
[emoji23][emoji23][emoji23] daaah
Akhsante sana [emoji120][emoji120][emoji120]Asubuhi kabla hujala jioni before hujalala ni bonge la dawa
Naona dingiii haendi bila boost[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23] daaah
Mhmhh nakusalimia kwa mbaliiiiAkhsante sana [emoji120][emoji120][emoji120]
Nitafanyia kazi..
Ubarikiwe Sana.
Akhsante sana [emoji120][emoji120][emoji120]
Nitafanyia kazi..
Ubarikiwe Sana.
Za kunisusa kwanza [emoji137]Mhmhh nakusalimia kwa mbaliiii
Asali ninayo nimeiweka tu.Ameen ndani pia uwe na asali uwe unaramba ramba kidogo
Dingii sura inataka kuanguka hapo, aibu balaaNaona dingiii haendi bila boost[emoji38][emoji38]
Naomba unipige faini aisehh nimekubali mashtaka yangu nina kesi ya kujibuZa kunisusa kwanza [emoji137]
Mimi mzima
Basi sawa mpendwa, juu chini ngoja nijipige[emoji23][emoji23]
Haitotokea
Dingii sura inataka kuanguka hapo, aibu balaa
Asali ninayo nimeiweka tu.
Kumbe ngoja nianze kuitumia usiku huu huu.
Wanatumaga na ya kutolea haoNaona dingiii haendi bila boost[emoji38][emoji38]
Nikufundishe?Wenzangu mnafanyaje mnalala usiku mzima 8hrs?