Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha

Kalaptop katamu
 
nimeona unalalamikia hizi Ila zina uhusiano na unavyotune akili,
Niliumwa nikafika stage ya kuharisha Damu Ila nilipona kwa kutibiwa mawazo kwanza
Nadhani na Mimi tatizo lipo kwenye mawazo.
Hapa katikati nimepitia kipindi kigumu..overthinking inanitesa Sana, matokeo yake ni haya nimeyapata.

Nitajitahidi nipunguze
Akhsante kwa ushuhuda[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ukitoka hapo Unaenda [emoji116]

Yakobo 1 : 2- 3

Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali;

mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.

Jaribu halikumpata mtu isipokuwa lililo kawaida ya mwanadamu
Ila Mungu ni mwaminifu
hatawaacha mjaribiwe ....

[emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…