Selfika na JF: Snap it. Show it

Aah udongo me sili kabisa, ila napenda kale kaharufu ka vumbi manyunyu yakianza kudondoka.
Limao hebu achana nalo πŸ˜€
 
Aah udongo me sili kabisa, ila napenda kale kaharufu ka vumbi manyunyu yakianza kudondoka.
Limao hebu achana nalo [emoji3]
Mimi ile harufu Niko radhi nikae nje manyunyu yaliloweshe kwa ajili ya ile harufu.

Sasa Mimi nikikaa kidogo tu natafuta udongo .
Kuna kipindi nilikuwa nanunua kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…