Yan me nimefikia stage ya kupata na arosto nikimaliza week bila kula.
Kitaje tu, zamani ilikuwa mchele kutafuna nikapambana kupunguza ila bado sijaweza kuacha kabisa

Utadhani mama mjamzito..yaani nitajikanyaga weee Hadi nitafute kipande Cha udongo
Michele sijawahi kutafuna ila malimao huwa nayaelewa Sana nikitia na chumvi Basi mambo Ni Moto