Sifanyi mazoezi hata kidogo
Chakula hasa ni chips, wali samaki/ nyama kuku , ndizi machalali kina Manka wanaita na pia ndizi za kukaanga. + bites hizo kila muda najitafuna.
Wanga nakula, hizo limao aisee ndiyo sielewi.
Soda pia sio haba, mwisho jana nimekula vizuri kabisa pilau kuku + mirinda nyeusi ila nilivyomaliza nikala na kipande cha limao na hapo wakati napika mboga nilikuwa nishakula kingine.
Nitajitahidi, kula bila mpangilio ndiyo kupoje?