Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Niko poa dear hofu kwakoHahhahah uko poa babe
Niko poa dear hofu kwakoHahhahah uko poa babe
View attachment 1454916 Kwa hisani ya mdogo wangu

Niko poa babe mefurahi kukuonaNiko poa dear hofu kwako
Asante sana mkuu hivyohivyo kidogoChumba kimepambika , Vizuri sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
I'd yako inafanana na yule golikipa alikuwaga simba anaitwa nduda sijui
.
Basi nikikuona nahisi kama ni yeyeYangu tofauti.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Njoo friends corner hapa 🚶
Moyo wangu mimi.
Umevaaje nipite hapo nikuoneNjoo friends corner hapa 🚶
Kwenye hii Bank ya ukijani ukijani
Njoo friends corner hapa![]()
Kwenye hii Bank ya ukijani ukijani
Mjini Dom / Dar?Niko mjini mkuu.
Tunavunja kamati za Bunge..![]()
Mjini Dom / Dar?
We binti habariMjini Dom / Dar?
Hivi kumbe hapa Friends corner ni kijijini eeh?
Marahaba, hujambo Toto?We binti habari
Nimevaa skirt na blouse nimechomekea 🚶ukiingia tu nipo kwa bench hapo karibu na mlangoUmevaaje nipite hapo nikuone
Na jumatatu yote hii jamani
Wew si upe FC ya arusha..Hivi kumbe hapa Friends corner ni kijijini eeh?
NdiyoWew si upe FC ya arusha..
Na jumatatu yote hii jamani