Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,467
- 203,086
Mimi nishawahi kumuona, ana kitambi halafu mfupi kisha mweusi kama MpokiDaah acha hizo aise. Unajua sijawahi kukuona hata kwa bahati mbaya eti.
😂😂😂
Mimi nishawahi kumuona, ana kitambi halafu mfupi kisha mweusi kama MpokiDaah acha hizo aise. Unajua sijawahi kukuona hata kwa bahati mbaya eti.
Mimi nishawahi kumuona, ana kitambi halafu mfupi kisha mweusi kama Mpoki
![]()



we sema haki ya naniHaki ya nani 😂😂😂we sema haki ya nani
Mzumbe ziko mbili, ushakosea tayari
Hongera sana kwa kusoma UDSM mkuu.UDSM hiyo,tena nahisi ni Yombo Venues, kama nimepatia hiyo pesa tuma kwenye no hii![]()
Hahahaha
jambazi wap Mkuu namba inaonekana kabisa pale, Nashangaa Mrembo kapiga Wakat nimeitoa kweny picha yke
Au huko kwnye Browser haionekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu Chake unapenda kucheka kitajiri sana.Hahahaha
Sio kweli
Mi nimesoma zangu Teku, hapo nilienda kumsalimia rafiki angu, ndyo nikakariri hivo viti vilivyo mkuuðŸ¤Hongera sana kwa kusoma UDSM mkuu.
Hahahaha, hahahaha, hkn MkuuMtu Chake unapenda kucheka kitajiri sana.
Hongera sana mkuu, Yombo Venue.Mi nimesoma zangu Teku, hapo nilienda kumsalimia rafiki angu, ndyo nikakariri hivo viti vilivyo mkuu![]()
Next Man umetunga stori bwana. Dada yetu amekanusha hapa kwa maneno mawili tu. Siyo Kweli......
Hahahaha hy namba iko wapi nimpigie sasa hv ,we subiri hy kesho
HahahahaHebu laleni
HahahahaNext Man umetunga stori bwana. Dada yetu amekanusha hapa kwa maneno mawili tu. Siyo Kweli......
Next Man
Papaaa ze Don..Hahahaha, hahahaha, hkn Mkuu
Hahahaha, hapana humu kunafurahisha, nipo najiandaa kuingia lindoUnacheka kinafiki wewe, hebu lala huko
09:10