Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana , Sentensi tata .


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeedit kaangalie tena, nilimaanisha mnazaliwa wazuri.
Seriously yaani wadada wengi wakipiga selfie hadi waedit ila wakaka wengi naona wanapiga selfie casual tu hawaedit chochote na wanatoka wazuri.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeedit kaangalie tena, nilimaanisha mnazaliwa wazuri.
Seriously yaani wadada tukipiga selfie hadi tuedit ila wakaka wengi naona wanapiga selfie casual tu hawaedit chochote na wanatoka wazuri.

Sisi Black and white ndio tunatokelezea kidogo , tukiweka ile hadi ina rangi ya ndevu utakimbia [emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda mzuri huu, kazi zimeisha, Kinachofuata ni kupitia Coke Kubwa na chupa moja nzuri ya Sanitizer tukajisanitize nyumbani.

IMG_8147.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom