Wadada walikuwa wanawapenda wakaka wa advance...wakaka wa o'level walikuwa hawapendezi
Advance unakuta kaka kajipigilia modo yake,shati Safi na ile tai utasema waziri wa fedha.
Sisi Huku na visolo vyetu kutwa kufukuzana na mwabulambo
.
Kuna kaka flani wa Advance muslam alikuwa anapenda Sana kufanya morning prayer Assemble..watu walikuwa wanamueleva vibaya.
Ila anko Amani alikuwa mnoko Sana gettini Hadi Kuna siku watu wakamsukuma..yaani tumechelewa ticha hayupo eti hataki tupite getini Hadi mwalimu aje...wakaka wa advance wakakusanyana wakamsukuma sisi hao mbio.
Sent using
Jamii Forums mobile app