Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Hapa ni Udzungwa ??
Hapa ni Udzungwa ??
Hivi jamani laini IPI unapata mb's nyingi zaidiHahahaa
Jr[emoji769]
Hahaha umeongea kama baba angu...Jumapili nilimuuliza atawapeleka wapi madogo akanijibu "watatembea humu humu ndani wakichoka watalala....nilichekaHaya wale mmenunua nguo za pasaka mkishakula mpunga wenu ogeni vaeni nguo zenu Kisha anzeni kutembea unatoka chumba kimoja unaingia chumba kingine utakuwa umeshasherehekea pasaka yako vizuri kabisa......mvua ya leo ni lockdown tosha imesaidi kupunguza mengi tuseme Aamen #Stay Home# Corona ipo epuka mikusanyiko
Jr[emoji769]
Hahahaha
Mkuu,kwwma? Hivi ile taaluma yako haiwezi kutibu hii corona ? Watu turudi kwetu porini? Bongo mizinga mingi[emoji124][emoji124][emoji124]
Jr[emoji769]
Mkuu,kwwma? Hivi ile taaluma yako haiwezi kutibu hii corona ? Watu turudi kwetu porini? Bongo mizinga mingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaaaah kumbe ndio ID yako jirani
kilicho akilini kitumie
Mkuu hebu ingia pori uje na chanjo cha tiba asili ya coronaTumeambiwa hakuna chanjo wala tiba.. Hii ni taarifa rasmi ya mabeberu nasi tumeirasimisha... Kibaya ni kwamba hatujatoa nafasi bado kwa tiba zetu asilia
Jr[emoji769]
Mkuu hebu ingia pori uje na chanjo cha tiba asili ya corona
Malkia wa mipasho atajuta kumjua chibu. Ila bora huyu kuliko yule dumejikeFisi kasusiwa bucha
Jr[emoji769]