Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Mkuu Kama iringa hivi hapoDah! Jana usiku ulikuwa ni usiku mbaya sana.
Nimeota tumevamiwa na simba dume.
Badala ya kugangamala tupambane naye, kila mtu akatawanyika.
Halafu mbio za usingizini hovyo sana. Mtu unakimbia taratibu sana halafu kwa mbinde huku simba yuko nyuma yako.
Baadaye kidogo ndo unastuka na kuona kuwa ilikuwa ni ndoto tu.
Ndoto imenivuruga.
View attachment 1445810
Nimeamua nije hapa nizimalizie hasira zangu kwenye hii makitu.
View attachment 1445818
Sent using Jamii Forums mobile app




