Reebok pumps?
They first debuted in 1989...
Yaap
Old timers
Chumvi nyingi
Reebok pumps?
They first debuted in 1989...
Mida mida niliona ma piki piki makubwa huku bagamoyo nkajua ni wewe upo safarini
Sent using Jamii Forums mobile app



, nilipita hiyo barabara leo mpka Tegeta nikageuza。Nimeshiba
Nipasie mmoja mkuu hahahhaaaShe’s wild....she was like ‘F U Ngabu’.
She wanted all the smoke....I didn’t want none of it
View attachment 1445100View attachment 1445101
Nice view4 years Ago, I took these photos in Downtown Dar.
View attachment 1445498
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Jana usiku ulikuwa ni usiku mbaya sana.
Nimeota tumevamiwa na simba dume.
Badala ya kugangamala tupambane naye, kila mtu akatawanyika.
Halafu mbio za usingizini hovyo sana. Mtu unakimbia taratibu sana halafu kwa mbinde huku simba yuko nyuma yako.
Baadaye kidogo ndo unastuka na kuona kuwa ilikuwa ni ndoto tu.
Ndoto imenivuruga.
View attachment 1445810
Nimeamua nije hapa nizimalizie hasira zangu kwenye hii makitu.
View attachment 1445818

Hahahaha, sipati picha na rangi yake wakati unajirusha kitandani lakini upo pale pale
Sent using Jamii Forums mobile app