Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Asante sema siyo wangu ni wa jirani yangu.
Huyo mwenye baibui ni mama wa mtoto.
Namaanisha na yule uliyemuweka siku chache zilizopitaHuyo mwenye baibui ni mama wa mtoto.
Ndiyo.unamanisha huyu ndiyo ni wa kwangu.View attachment 1447491
Huyu ni mmoja wa wanangu.
Huo usela utakuwa made in heaven 😂😂.. nimeelewa lakini boss
Huo usela utakuwa made in heaven.. nimeelewa lakini boss




sawa Boss.
Nipo mwayaa
Ndiyo,tulikuwa tunasali kwenye ilo kanisa
Kanisa la singa ilokanisa la mango👏👏👏