Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Karibuni break fast
IMG_20200429_090556_201.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijambo carba
Leo nipo sehemu nikakumbuka ushauri wenu.
Nikaona isiwe kesi na Mimi nijaribu kile chombo,nikamuomba bro nionje
Pafu la kwanza tu nimeshindwa kumezaView attachment 1434776

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nimuite abui
Sisi tulikwambia hayo mambo huwezani nayo,umeamini sasa??

Halafu unakunywa nini hiyo naona giza mimi
 
Back
Top Bottom