Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimuambia he has to do what I say and not what I do
Oooh hujadondoka huko njiani?Nimekuja mbio bahati mbaya saaana nimekuta umefuta[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijafunga ila nakuja kujumuika[emoji3]View attachment 1432831
Kwa wale walio self quarantine/ isolation tujumuike ftari baada ya mfungo.
Ramadhan Kareem
Hata Mimi si naweza kuila tu?Karibu sana ila hii ni mahsusi kwa wale waliopo kwa swaum.
Hata Mimi si naweza kuila tu?
Tumbo langu huwa halichagui[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Wasiliana na Mshana Jr akuwezeshe usafiri wa kidijitali.
Hizo mbio nilizopiga Usain Bolt akasome.[emoji23][emoji23]
Hizo mbio nilizopiga Usain Bolt akasome.[emoji23][emoji23]
Nilipokosa kilichonileta hayo mauza uza acha tu.
Kama mtu anayetaka kulia na kucheka hapo hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana
Huu ni ukweli mchungu
Mbn sioni picha humu