Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
ZilinichoshaNi nini mbaya kunyoa nywele??[emoji849][emoji849]
Mwishowe nikawa naonekana Kama kichaa[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
ZilinichoshaNi nini mbaya kunyoa nywele??[emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeonja ya bro hiyo k vant
Aiseee nimerukaruka..nikarudi kwenye grand malt yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kd alinidanganya alinambia hiyo ya bro inanoga Kama grand malt
Leo nikawa Tomaso[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!pole sema bado umependeza maana unakichwa kizuri sio kama changu[emoji85]
Kweli siwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kumsingizia maana tulikwambia hiyo kitu huwezani nayo ukawa unabisha.
Ubishi wako umekuponza
Kulewa siwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe si ulisema unakunywa hiyo na haitakushinda?
Yaani nacheka kijinga hapa
Anazingua mdgo wako...sie na umri huu tunamuita halafu hajiHivi ni bado hupati notifications?
Tulikuita sana jana
Carb..Tulikuwa nae home kule
Hujambo lakin totoo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli siwezi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama vitu vyenyewe Ni vichungu hivi basi Mimi siwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya CoronaSijambo carba
Leo nipo sehemu nikakumbuka ushauri wenu.
Nikaona isiwe kesi na Mimi nijaribu kile chombo,nikamuomba bro nionje
Pafu la kwanza tu nimeshindwa kumezaView attachment 1434776
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa leo ndo ilikuwa siku ya kujua kama unalewa ama hulewi[emoji23][emoji23][emoji23]ungeendelea kupiga kvant uone kile kitakukutaKulewa siwezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kunywa nimeshindwa..walahi nimeshindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza..[emoji848][emoji848]Ni nini mbaya kunyoa nywele??[emoji849][emoji849]
Embu tuoneDah!pole sema bado umependeza maana unakichwa kizuri sio kama changu[emoji85]
Huyu dogo notification zinamsumbua
Haya nionyeshe njia basi
Kwamba hujaiona?[emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa leo ndo ilikuwa siku ya kujua kama unalewa ama hulewi[emoji23][emoji23][emoji23]ungeendelea kupiga kvant uone kile kitakukuta
Hiko hapo[emoji85][emoji85][emoji85]
Unadhani nimemeza Basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo uwe unasikiza maneno ya wakubwa zako.
Ukiambiwa unaelewa[emoji23][emoji23]
Hujasikia kulewa hivi?
Ila umenichekesha sana[emoji23][emoji23][emoji23]