Daah sasa hakuna kijiwe kingine ambacho umeweka kambi kwa sasa ?? Maana wengine nikiwakosa humu najua kuna vijiwe nitawakuta wapo wanapiga soga ila wewe hata kwingine sijawahi kupishana na wewe !!
Daah usinikumbishe machungu jamani anne, nakumbuka hapo kauzi ndiyo kalikuwa na kama siku nne tu halafu kalikuwa kanakimbia balaa.
Daah I miss 'em days when we used to have fun in here, huu uzi ulikuwa moto kipindi cha october na november nikikumbuka natamani hata nirudishe siku nyuma.

yaani hata mimi nilifunguka balaa, ningekuwa na uwezo ningerudisha siku nyuma ili turudi kwenye kile kipindi halafu pia nifute baadhi ya vitu nilivyovisema niwe sijavisema kabisa maana daah.