Kwanza sijapenda kwanini hii Union day imedondokea jumapili!! Si ingengoja kesho aisee, nimeumia mnoo.
Kuhusu notification wallah sipendi zitokee hivyo, huku kwangu nilidisable.... Halafu hebu nitumie hiyo nyimbo.
Then hongereni maana mlikuwa mnatia sana huruma wazee wetu