Tuchangamshe uzi kidogo, Post picha ya impression ya member wa selfika! Wengi hatujaona sura za members wengi ila Nina uhakika kuna sura unaijena akilini au unamfananisha na character flani hata wa kwenye movie au kitabu au mtu flani. Tuanze.
Mda mref Kwa kweli miezi 12!#
Labda Mung kaniandikia FUNGU LA KUKOSA siunajua ππ
Kuna watu wamenikuta sahvi washakua malengend humu wao wameandikiwa FUNGU LA KUPATA πππ