Mnoo,Asap rocky- praise the lord, ,, this song is good go find it,, happy easter fellazView attachment 1417062
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiambiwa niwe padri au niwe hivyo anavyotaka nachagua hivyo anavyotaka kuwa padri siwezi alooo..![]()
Mwanamke hata ukimfanyia vyote hivyo bado atakukorofisha tu.
Sijaielewa hii conservationHuyo mwanamke wa wapi au wa kichina jamii ya kiebrania,mtoto waal Anti yake herode.
Mjukuu wa babeli..

Yenyewe ndo haijakuelewa weweSijaielewa hii conservation
Jr![]()
Hahahaha, huyu jamaa alitisha sana, Kenya walimtimua
Hahahaha, huyu jamaa alitisha sana, Kenya walimtimua
Nadhani, kuna kipindi bongo alianzisha bendi ,Lulu Orchestra km sijakosea jina, walikua anapiga pale victory ,LA prima
Mnaitafuta corona kwa nguvu zote. Hiyo nyama sio nzuri, nipeni mimi