
MWANAUME ANAHITAJI:

Utakula kwa jasho.Shee MWANAUME ANAHITAJI:
1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika
4. Uvumilivu
MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana
HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.
HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.
PIA USISAHAU:-
62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.
MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu
WANAUME KAZ TUNAYO.
Jr![]()
Rudi hapa.
Hayo mahitaji yooote ndio balance diet yenyewe shee. Mjitahidi tu maana hamna namna.Kwahiyo hakuna mboga shee
Jr![]()
Doctor fanya jambo basi ikiwezekana kinga/dawa ipatikane😛,mimi ntakua tayari kufanyiwa majaribioTumeambiwa hakuna chanjo wala tiba.. Hii ni taarifa rasmi ya mabeberu nasi tumeirasimisha... Kibaya ni kwamba hatujatoa nafasi bado kwa tiba zetu asilia
Jr![]()
Ampiclox zimejaa madukani. Nyie mpaka Babu aingie Vumari Forest aje awadanganye Tena Kama Babu wa LoliondoDoctor fanya jambo basi ikiwezekana kinga/dawa ipatikane😛,mimi ntakua tayari kufanyiwa majaribio
Hahahaha, piga shortcut km babu wa loliondo ,wataipitisha wenyeweMkuu napenda sana nifanye hivyo na pengine tayari niko kwenye mchakato lakini mpaka formalities na michakato ya kuja kuthibitishwa na wizara kukamilika sio mwaka huu
Jr![]()
Shee MWANAUME ANAHITAJI:
1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika
4. Uvumilivu
MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana
HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.
HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.
PIA USISAHAU:-
62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.
MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu
WANAUME KAZ TUNAYO.
Jr![]()