Atajifanya alikuwa haoni notification... Na pic za Heaven Sent hapati 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] looh we naye mshakunaku tangu juzi tunakuita mi na Depal haukuji ila leo kusikia tunaongelea picha za Heaven Sent ndiyo umeibuka, na kwa taarifa yako ninazo ila sikupi.
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
Hahaha ulikamatika vibaya wewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pampula haumsahau[emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeeHiyo picha yako ya mwisho ulikuwa unataka kutuonesha ukubwa wa pumbu zako ama?
Mara nyingi jinsia tofaut zikishindwana kulalana huko nje ndio zinakuja kulipuana japo nayo ni tabia ya immatured fellas[emoji2296][emoji2296] kumbe kuchomoleana betri kwa jinsia moja ni ajabu ila kwa jinsia tofauti ndiyo sawa, dunia simama (malizia)...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapati nakuambia we muache tu, naona hiyo app yake inachagua notifications za kumletea inamletea zile za umbea tu.Atajifanya alikuwa haoni notification... Na pic za Heaven Sent hapati [emoji23][emoji23][emoji23]
Ohoo haya sasaDah, weweeeee sijuwi nitakupata wapi. Sina haja ya kuona mwili ama sura yako, kifua tu kinatosha kujuwa uko vipi.
Naingia Chamwino kuangalia ujenzi mara mojaTeh kwani wapi nimesema shule sijaenda, shule nimeenda ndiyo ila za kidumu na mfagio kwahiyo hivyo vingreza vyako waongeleshage kina Depal walioenda shule zenye mabasi ya njano.
Aiseee
😂😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapati nakuambia we muache tu, naona hiyo app yake inachagua notifications za kumletea inamletea zile za umbea tu.
Oohh sasa watu ndiyo hawataki hayo mambo, maana hauwezi jua anaweza akanitumia mimi halafu mimi nikamtumia mtu mwingine ambaye ni me halafu huyo mtu ndiyo akamchomolea betri.Mara nyingi jinsia tofaut zikishindwana kulalana huko nje ndio zinakuja kulipuana japo nayo ni tabia ya immatured fellas
Haya uangalizi mwema mkuuNaingia Chamwino kuangalia ujenzi mara moja
Baadae mkuu
Mkuu!!!!!??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hehe sawa mkuu
Ujinga tu.Ila ni sawa me kumchomolea betri ke?
[emoji848][emoji848] corona au ??Jamani naomba uniokoe, niko hoi hapa