Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo sasa

Ila ni u crazy mdada kumchomolea betri mdada mwenzake
Au me kumchomolea me mwenzake

Labda kama mmoja ni tapeli sugu hapo hakuna namna zaidi ya kumlipua
 
Kumbe mnaogopana[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Hiyo itakuwa uliota kwakweli.

Tafadhali sana usilete ushahidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ushahidi kuleta ni dakika mbili na sekunde sifuri tu, sasa ukileta ng'ee ng'ee ng'ee naweka ushahidi. [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…