Hahahaha niliona ila sikushituka sana sababu tangu nimebadili ile id hata mwezi haujesha na pia sikuwa nimeangalia kajiunga lini, ila pale aliposema endiwo (in Zoë's voice) ndiyo pakanishitua hadi ikabidi nikaangalie kajiunga lini maana hilo neno humu sijalitumia muda mrefu.
Na mimi usinisahau [emoji16][emoji16]
Teh teh hata hivyo si uliniahidi tangu mwaka jana kuwa utanitumia picha ila hadi leo hola? Au umesahau?
Mmhh siyo zote jamani, ni kweli nyingi huja sababu ya mawazo ya mchana ila siyo zote.Hivi unajua ndoto ni kile uwazacho mchana eeeh?
Point noted our first ladySiyo lazima akujibu wewe, jaribu kupitia hata yale majibu anayowapa watu wengine humu jukwaani ndiyo utashaa.
Yaani hata wakina mama wenyewe kwa wenyewe mnaogopana.Teh teh hata hivyo si uliniahidi tangu mwaka jana kuwa utanitumia picha ila hadi leo hola? Au umesahau?
[emoji2296][emoji2296] mwee wengine tumesoma shule za kidumu na mfagio jamaniPoint noted our first lady
Duuh hivi kumbe kukataa kumtumia mtu picha yako ni kumuogopa eenh, basi nahisi mimi bado mgeni kwenye hiyo scary world.Yaani hata wakina mama wenyewe kwa wenyewe mnaogopana.
It's a scary world
Haya maneno sitegemei yatoke kwako.[emoji2296][emoji2296] mwee wengine tumesoma shule za kidumu na mfagio jamani
Si mtu anaona ukimuona sura yake basi ni kama umeiba nyota yakeDuuh hivi kumbe kukataa kumtumia mtu picha yako ni kumuogopa eenh, basi nahisi mimi bado mgeni kwenye hiyo scary world.
Teh teh hata hivyo si uliniahidi tangu mwaka jana kuwa utanitumia picha ila hadi leo hola? Au umesahau?
Inaelekea unanifahamu vizuri sana mkuu, pengine kuliko hata ninavyojifahamu mwenyewe.Haya maneno sitegemei yatoke kwako.
Walaaa, nilikuwa nakukunbusha tu.Mmhh siyo zote jamani, ni kweli nyingi huja sababu ya mawazo ya mchana ila siyo zote.
[emoji85][emoji85] kwahiyo ulitaka kusemaje labda ??
We ni wa kunifanyia hivi kweli[emoji134]Siyo lazima akujibu wewe, jaribu kupitia hata yale majibu anayowapa watu wengine humu jukwaani ndiyo utashaa.
Hiyo itakuwa uliota kwakweli.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo statement bora umewahi kuisema mwenyewe, yaani nusu nikuambie hapa kesi ya nyani umeleta kwa ngedere.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kuna mtu alianzisha uzi wake, ukatoa comment moja hiyo hadi alijaa sukari nikashangaa tu "Jael sitaki mazoea na wewe", nikasema uwii huyu dada ataja kuua watu kwa hasira na majibu yake haya, maana sikuelewa ile comment yako na kutaka mazoea vinahusianaje.
Hahahaha khaa nani kasema hayo yote, wabongo tuna imani za ajabu jamani.Si mtu anaona ukimuona sura yake basi ni kama umeiba nyota yake
Unataka kusemaje labda[emoji23]Na wewe haka ka ugonjwa unako eh, vichwa kama vitunguu unavijua lakini?
Asubutuuuuu!!
Haya.Weeee mi nimekulia kijijini kabisa
Hayo maneno yako mkuuInaelekea unanifahamu vizuri sana mkuu, pengine kuliko hata ninavyojifahamu mwenyewe.