Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mnanyolea sh ngapi? Maana hii buku naona inanitoa roho, hopefull nyie mtakuwa na bei rahisi kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani tunatofaitiana sana, yaani wanavyopendeza na hizo way hadi mimi natamani kuiweka. Sijawahi kuwafikiria wanaoziweka kwa namna ya tofauti bali naona ni urembo tu.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kama ule uliokuwa unautumia kipindi bado unajiita Edelyn
HayaId ya zamani Mwifa
Naona mnanifananisha na diaspora
Sijui diaspora ni nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hehe muambie kwa mtu anayeyajua majibu yako hilo jibu ni la kawaida sana, naona hajawahi kukutana na yale yenyewe hadi mtu anatamani kulia.Sasa hapo ukatili uko wapi? Kusema ukweli ni ukatili?
Zoë njoo unisaidie.
Teh hata mie naipenda kwa kweli, hizo tamaduni za kiafrika wabaki nazo wenyewe.
[emoji23][emoji23] siachi, nilikuwa tu nampa moyo dada yangu pale juu ili asinione muhuni.
Na wewe weka utapendezaYaani tunatofaitiana sana, yaani wanavyopendeza na hizo way hadi mimi natamani kuiweka. Sijawahi kuwafikiria wanaoziweka kwa namna ya tofauti bali naona ni urembo tu.
Kwahiyo na wewe uko vizuri kwenye kung fu ??Leo ni miaka 27 sasa toka mtoto wa my Idol kafariki.
Rest in Peace Brandon Lee.
View attachment 1405386View attachment 1405387
No Idea zake ndio nazifuataKwahiyo na wewe uko vizuri kwenye kung fu ??
Unanichinja huku unaniangalia usoniSasa hapo ukatili uko wapi? Kusema ukweli ni ukatili?
Zoë njoo unisaidie.
Watu tunabadilika my dada.Hapana, mwifa hana huu uchangamfu.
Oohh nilitaka nije nipate darasa la kung fu [emoji16][emoji16]No Idea zake ndio nazifuata
Mimi na jael hatuna historia ya kukwaruzana ndio maana majibu yake yanahimilika kama deni la serikali yetu linavyohimilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hehe muambie kwa mtu anayeyajua majibu yako hilo jibu ni la kawaida sana, naona hajawahi kukutana na yale yenyewe hadi mtu anatamani kulia.
Na wale wa manicure & pedicure 😀Teh teh ingekuwa rahisi hivyo basi wengi tungeliwa kimasihara sana tu, maana wengine tuna hadi namba za freelancers wa kusajili line za simu nini vinyozi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo tena si nikaitwa blaza bwana!! Am falling in love with this new name.
Yaani tunatofaitiana sana, yaani wanavyopendeza na hizo way hadi mimi natamani kuiweka. Sijawahi kuwafikiria wanaoziweka kwa namna ya tofauti bali naona ni urembo tu.
Haha utamaduni huo ni shida khaaaTeh hata mie naipenda kwa kweli, hizo tamaduni za kiafrika wabaki nazo wenyewe.
[emoji23][emoji23] siachi, nilikuwa tu nampa moyo dada yangu pale juu ili asinione muhuni.