Kwanza kuna vijiji vipo kule Meru ndio nachoka kabisa majina yake ππvipi ngulelo jee π Jina konki hilo
Achia hayo majina ya kizungu kbsa
njoo huku kitaani kwa wamasai usikie
majina ya shule na mitaa ucheke ufe
Next time uweke steaming ni mbolea kwa nywele
Wivuu
Ooh umependa maisha hayo ya kuwa n'a nywele fupi .Yeah nimegundua hilo, ila kuja kusuka tena ndiyo mwee sijui mwaka gani .
Ukija tu dar tutaendaUnaenda kunyoa lini nikusindikize? [emoji23]
Ni mazuri sana
Ooh vizuriSiyo sana, ila kwa mtu kama mimi ambaye sijui kutunza nywele maisha ya kunyoa ndiyo yanayonifaa.
Umepaonaje Orlando? Fav space πnina siku nyingi sija comment chochote kwenye uzi huu, nafurahi kuona uzi bado upo active.
hivi karibuni nilikuwa safarini katika mikoa kadhaa nchini, nayo ni dodoma, arusha, iringa, kilimanjaro na tanga.
tanzania ni kubwa sana, tusiridhike kukaa eneo moja. tupatapo nafasi, tusafiri mikoa mbalimbali ili tujionee uzuri wa tanzania na maliasili zake.
tazama timeline yangu uone misele yangu ya hapa na pale nikiwa katika miji ya mikoa niliyotaja hapo juu.
View attachment 1404079View attachment 1404080View attachment 1404082View attachment 1404083View attachment 1404084
@heaven sent unakwama wapi?Ugali na Masela
Lunch nzito ya Monday
Life of Pi...View attachment 1404170
Sent using Jamii Forums mobile app
pako vizuri sana depal, wifi yako ali-enjoy sana.Umepaonaje Orlando? Fav space [emoji172]
Mmmh!! Pa kawaida tu hata usiku. Sema nahisi Moro hakuna viwanja vizuri thats why panababaikiwa.Ulifika mchana ww? Njoo usiku,halafu Moro sio kama dar,kwa hapa Moro [emoji226] [emoji226] ndo pakishua
Sent using Jamii Forums mobile app