Yaani hao sina tofauti nao nikisuka vitunguu vikianza tu kuwasha nasema nafumua
Mara nyingi nabana tu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Pa kawaida. Kabla sijafikapo mawazoni nilikuwa najua ni bonge la kiwanja
Hukuwa unaziwekea steaming nini ?Mie nywele zangu zilikatika ajili hiyo ya kubana kila siku tena style moja, yaani kwa kifupi mie kwenye utunzaji wa nywele ni sifuri nikaona nazionea bure tu.
Umeshawahi kupanda kule juu The DommeUlifika mchana ww? Njoo usiku,halafu Moro sio kama dar,kwa hapa Moro [emoji226] [emoji226] ndo pakishua
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshapanda kule juu The Domme
Nyumbani park ndo kuzuri au ulifika Black n white
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vingine je ?Hapo sass kuna shida.. hua situmii mafuta kichwani.. napaka baby care tu nayopaka mwilini. Kuanza kutumia mafuta ya nywele naona mtihani
Mrefu mwembamba 🙌🙌
Pa kawaida...me nilipaona hivyoUlifika mchana ww? Njoo usiku,halafu Moro sio kama dar,kwa hapa Moro [emoji226] [emoji226] ndo pakishua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kubisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutu yakoo
Yani we dogo una nywele...nazikumbukaDadaa naomba unisaidie nifanye nywele zangu zisikue haraka. Mwanzo niliona sifa kwakua nilikua napewa hela ya kunyoa. Ila now naona inavyo cost... Nikinyoa within a week nywele zimejaa zahitaji saloon.
Hahaha usipopaka sasa hazitadamshi 😂😂Hiyo curly niliwahi kuweka nikiwa na nywele ndefu, nilikaa nayo miezi mitatu tu nikarudi kwenye relaxer. Akha vilinishinda mie vya kupaka ile mimafuta ya gel kila siku na kulala na shower cap na nilivyo mvivu kutunza nywele nikajisemea cha kufia nini, mama yangu ndiyo team curly toka enzi hadi leo.
Mimi hukuniambia, yani mm mtu akiniambia habari za kunyoa namsindikiza kabisa saloonIla mie kuna watu niliwataarifu kabisa naenda kunyoa, hakuna aliyeniunga mkono hata mmoja walijaribu kunibembeleza weee wapi mwisho wakasema niamue ninachotaka.
Mwenzao nywele zimekatika kabisa eti wao wananiambia mbona ndefu tu hizo
ulikuwa wapi?Depal ridisha ulichofuta..