Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,180
- 11,260
Sijakususa mpendwa nilikuwa likizo kidogo ya JF[emoji16][emoji16][emoji56]
Natumai uko poa kabisa
Asante pia dawa unapaka hiyo Mega au
Ooh okay thanks
Nipo kilingeni kwa mshana, naitafuta chugaView attachment 1383258
Sent using Jamii Forums mobile app
Mega ni dawa nzuri naona tofauti na hizi nyingne
Dah ungepaki nikupe mibaraka
Jr[emoji769]
Dah umenikumbusha sana Amsterdam nikiona hiyo bia naikumbuka ile ya 5% hiyo 12% sijawahi kuitest.
Dah umenikumbusha sana Amsterdam nikiona hiyo bia naikumbuka ile ya 5% hiyo 12% sijawahi kuitest.
Noma mkuu, Naona huko inazidi sasa .Poleni, Pigia Box home kama inawezekana.
Sent from my iPhone using JamiiForums