Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Next time nitaboresha mkuu.Naam,, ni ushauri mzuri..
Nami nimeona,, ana mwili mzuri ila namna alivyoweka hayo marangi ndiyo anaharibu picha inakuwa mbaya..
Sausage
Sausage






Hapana, si wakati naingia kwenye huu uzi niliambiwa kuwa wewe ndo umeshika daftari la maudhurio.



hamna shida boss



tatizo watu wamekimbia
Admin wa uzi hujaonesha ushirikiano sasa 😂tatizo watu wamekimbia
Duh, Bora Dungu, hapa ukikosa seat unapinda hadi unafika. Ila nimekalia sana kiti moto pale mbele . Kuna siku palikua pamoto sana nikaweka Daftari langu jipya zuri sana kuna mtu aliniletea kutoka majuu , wakati nashuka nikalisahau roho inaniuma hadi leo
.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alizawadiwa na mod baada ya kuona juhudi zake kwenye Uzi wa mshana









