Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Finaly nimemaliza kupitia page zote [emoji1476][emoji3] misosi mizuri sana, nimeona dada kashika lager ana vidole vizuri sana, Paula ana viatu na miguu mizuri, mkuu Megapixel ofisi yake safi sana. Misosi ipo ya aina mbalimbali , Mkuu Roger anaenjoy sana good Music, kila nikiona na mimi nazama Youtube kusikilizia. Duh aliyepost soup ya popo sijui kama ya kweli au PS imefanya mambo yake . Pole mkuu aliyekosa hela ya pombe, jitahidi na box upate chupa moja , Weekend itakua mbaya sana na hiko kimiminika kisicho na ladha wala rangi ( H2O)

Sikilizeni wimbo wa Ave Maria by Andre Rieu and Mirusia au by stella chamber choir [emoji7].


Sent from my iPhone using JamiiForums
Lol, thank you NDINDA
 
20200220_131807.jpg
 
Back
Top Bottom