Basi ndiyo maana kuna watu wanamchukia mtu kama Kiduku Lilo yaani yule jamaa mimi nyuzi zake nilikuwa naenjoy sana yaani vile alivyokuwa anataja tu yale magari na simu anazotumia mie alikuwa ananikosha,, haijalishi kama ni ukweli au uongo mimi hilo halinihusu mimi nilikuwa nafurahi tu maana ni afadhali hata ya yeye kuliko watu kama kina Zero IQ ambao wao muda wote wanawaza kugegedana tu na kutwa wanaanzisha nyuzi kama hizo..
Halafu hao wanaosema huu uzi ni wa kujimwambafy asilimia kubwa ndiyo hao wanaoshinda kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara,, wao story za kipumbavu kama zile (ambazo nyingi ni za kutunga) ndiyo huwa zinawakosha ila mtu akipost vitu kama majengo au vyakula vizuri wanakasirika..