Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WANAJINYONGEFY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ndiyo maana kuna watu wanamchukia mtu kama Kiduku Lilo yaani yule jamaa mimi nyuzi zake nilikuwa naenjoy sana yaani vile alivyokuwa anataja tu yale magari na simu anazotumia mie alikuwa ananikosha,, haijalishi kama ni ukweli au uongo mimi hilo halinihusu mimi nilikuwa nafurahi tu maana ni afadhali hata ya yeye kuliko watu kama kina Zero IQ ambao wao muda wote wanawaza kugegedana tu na kutwa wanaanzisha nyuzi kama hizo..

Halafu hao wanaosema huu uzi ni wa kujimwambafy asilimia kubwa ndiyo hao wanaoshinda kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara,, wao story za kipumbavu kama zile (ambazo nyingi ni za kutunga) ndiyo huwa zinawakosha ila mtu akipost vitu kama majengo au vyakula vizuri wanakasirika..
 
Acha tuseme tu watu wajifunze my dear,, mie nilisikitika nauliza watu kwanini wametukimbia huku kwenye selfie najibiwa eti huu uzi umekuwa wa kujimwambafy ilibidi niweke kwanza simu pembeni ili nishangae vizuri..

Kwa kweli inashangaza sana na haiingii akilini
Guys, comment ya mtu mmoja ndio mnaijadili tangu jana kweli? Is he worth it? Really?View attachment 1356049
 
Aisee hii mada haijaisha tu Wapendwa matani yanachukuliwa serious 😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzi wewe nimecheka hadi nimepaliwa,, hebu usinifananishie Taraji Henson wangu na vitu vyenu vya ajabu hivyo..
Emu ninong'oneze kwanza ni nani? Asije kuwa ni Mia Khalfa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila me ni maarufu karibu Buza nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…