Pambana mzeeLeo asubuhi nimetoka chuo baada ya kutafakari kuwa sina hela ya kula. Siwezi tumia savings kizembe maana lengo halitotimia. Nikaja kitaa kufanya mishe flani kumbe inahusisha store ya vifaa vya ujenzi. Mi nilikuja ili mradi nipate hela ya matumizi hata sikujua ni kazi gani. Nishachoka hapa na nina njaa.View attachment 1345209
Madhara ya January ndo nayaona mwezi huu
Niliwekeza sana sikuspend kivile. Hela ipo nyingi kiasi mahala lakini siitoi kwa lengo lake litimie. Hapa nimekumbuka wadaiwa wangu wote bado wananizungusha.
Mwambie mwenye hiyo picha ana nywele nyeusi mno nimezipenda
Karma una sikio la kunongonezwa issue fulani
Black shine ngozi inakuwa nyeupe hivyo dadake navyofahamu ukipaka ile ngozi inakuwa nyeusi pia
Black shine ngozi inakuwa nyeupe hivyo dadake navyofahamu ukipaka ile ngozi inakuwa nyeusi pia
Dadake hebu sogeza kidogo picha vibaya hivyo yaani tuone sikio moja kweli 😍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana jamani kuna super black na black shine hiyo ni black shine ukipaka unakaa muda mchache halafu wanakuosha nywele zinabaki nyeusi ila ngozi inarudi kama kawaida,, super black zimepitwa na wakati..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikio lako linaonyesha ulivyo kabishi tu.
Sikio lake lina vitobo vidogoSikio lako linaonyesha ulivyo kabishi tu.
Umenyoa kihuni dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana jamani kuna super black na black shine hiyo ni black shine ukipaka unakaa muda mchache halafu wanakuosha nywele zinabaki nyeusi ila ngozi inarudi kama kawaida,, super black zimepitwa na wakati..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mazuri kabisa hayo