Chloe 92
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 568
- 821
AmenAhsante mkuu naamini dia yako ilikuwa ya heri na leo nimeruhusiwa ubarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app

Nasubiri kuona picha yakoNdani ya Deluxe Moshi-DarView attachment 1343762
Iweke Sasa hivi.Muda si mrefu natupia picha mkuu
Jamani kumbe ulikua bado upo hospital
, polee Mungu azidi kukuponya eeh.Lazima niipande hii siku yoyote.Ndani ya Deluxe Moshi-DarView attachment 1343762



hilo nalo neno
If you say so, ila jamaa yetu huyu angalau kichwani mzima, na hatuna wasiojulikana.
Lazima niipande hii siku yoyote.
Shingap hapo.? Huu mwezi hautaishaFanya mpango mkuu,raha sana,kama mtu wa tungi na mziki utainjoi sanaView attachment 1343857View attachment 1343858
Shingap hapo.? Huu mwezi hautaisha
Na mambo ya chakula sh ngapi23500 ,ila bei inaanza 16500