Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Na mambo ya chakula sh ngapi
Fanya mpango mkuu,raha sana,kama mtu wa tungi na mziki utainjoi sanaView attachment 1343857View attachment 1343858
23500 ,ila bei inaanza 16500
Msosi chips kuku na wali kuku 4000
Afadhali. Pale ile tanga mabasi yanaposimama watu wale ile hoteli wali ni 8000. Andazi na sambusa 2000 (?) Kitumbua buku. Chips 5000. Ukizingatia mie kijana wa mkoani chipsi hazipandi
Hahaaa.. Luckily hua siri nikiwa safarini..Hawana akili wale
Hahaaa.. Luckily hua siri nikiwa safarini..
Kitumbua buku?
Hahahaha