Heri ya mwezi mpya February [emoji137].
Mwezi February ukawe mwema kwenu[emoji120]
Ulinzi wa Mungu uwe juu ya kila mmoja wenu[emoji120]
Afya njema ikawe kwa kila Mmoja wenu [emoji120]
Mungu akabariki kazi za mikono yenu [emoji120]
Natamka baraka za Mungu kwa kila Mmoja wenu
Akubarikini mwenyezi Mungu Baba Mwana na Roho mtakatifu [emoji120][emoji120]
Usicheze mbali ,ukapitwa

Umeona nini hapo?View attachment 1342994
😂😂😂😂1. Mihogo kwenye pot
2. Kitambulisho cha kura
3.Kitana
4.Mswaki
5. Whitedent toothpaste
6.Playlist
7. Electricity Tester
8. Mafuta
9.Kiberiti
10. Kisu
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndo utaamini sasa tunaishi store
Pole na hongera kwa ubusy shem wangu.Nzuri tu, busy sana yaanii. Busy ndefuuuuuu
Amen[emoji120]Heri ya mwezi mpya February [emoji137].
Mwezi February ukawe mwema kwenu[emoji120]
Ulinzi wa Mungu uwe juu ya kila mmoja wenu[emoji120]
Afya njema ikawe kwa kila Mmoja wenu [emoji120]
Mungu akabariki kazi za mikono yenu [emoji120]
Natamka baraka za Mungu kwa kila Mmoja wenu
Akubarikini mwenyezi Mungu Baba Mwana na Roho mtakatifu [emoji120][emoji120]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yani Afrika ni balaa!!!anatafuta namna yeyote afie madarakani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hii ya muda mrefu kidogo
Cc Roger Sterling Tojo rais wenu huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hii ya muda mrefu kidogo
Cc Roger Sterling Tojo rais wenu huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yani Afrika ni balaa!!!anatafuta namna yeyote afie madarakani
Bora huyu jamaa mara 100. Huyo wa kwenu, Mungu awasaidie tu.
Hahahaha hamna mwenye afadhali hapo,, sote tunaionja joto ya jiwe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,viongozi wengi wa Afrika tabia zinafanana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani waafrika aliyeturoga alishakufa muda
Sent using Jamii Forums mobile app