Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lol kama nilijua tu kuwa sababu ya wao kukichukia kiswahili ni hiyo vita ya Tz na Ug

By the way shilingi yao iko chini kuliko shilingi yetu na nina rafiki yangu aliwahi soma huko aliniambia huku maisha ni ghali kuliko huko yaani kwamba huko maisha ni mepesi kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app

Soma tena mkuu, sababu ya kukichukia kiswahili sio vita, bali matendo ya kiuovu ya wanajeshi wenu kwa raia. Na since wanajeshi walikuwa wanatumia kiswahili, wakaunganisha lugha hiyo na uharamia.

Kwa kigezo chako cha shilingi, unadhani wakenya wana haki ya kusema ulichokisema kuhusu Tanzania?
 
Huyo kaka ni mnyakyusa huwa anapost video za wanyama wakifanya matendo halafu yeye anaingizia sauti yake anakuwa anaongea kwa niaba ya hao wanyama huwa anachanganya kinyakyusa na kiswahili sasa anavyoiongea ile lafudhi ya kinyakyusa utacheka ufe,, ndiyo ameanza kuibuka siku hizi na naona watu wanamkubali yaani wanamfollow kwa wingi..
Hapana nkamu. Anashughulika na nini?

Afu kwa ile comment nilihisi tu mtu unayemuongelea ni mnyakyusa ila ndo nikawa sijui ana issue gani. Ntamtafuta nimcheck maana sipati picha na ile lafudhi yetu
 
Yeah kaka nimekuelewa sababu kuu siyo vita lakini chanzo ni vita,, maana isingekuwa vita hao wanajeshi wasingefanya hayo mambo..

Ofcourse wakenya wana haki ya kusema hayo kwetu maana ni ukweli,, kwani hata wewe hauoni namna wanavyojishaua sababu hiyo..
Soma tena mkuu, sababu ya kukichukia kiswahili sio vita, bali matendo ya kiuovu ya wanajeshi wenu kwa raia. Na since wanajeshi walikuwa wanatumia kiswahili, wakaunganisha lugha hiyo na uharamia.

Kwa kigezo chako cha shilingi, unadhani wakenya wana haki ya kusema ulichokisema kuhusu Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh basi sie huku bongo wengi tunajua waganda wanajishaua na hawataki kusikia kitu inaitwa kiswahili wachilia mbali kujifunza tu,, japo rais wao Museveni huwa anakiongea na anasema anakijua vizuri tu..

Hata hivyo tu kuliko kuishi kwenye nchi ambayo Tanzania tumeizidi kiuchumi basi ni heri nibaki hapa hapa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie si mnamuangalia sjui Zari ndo mnaona waganda wote wanaringa,mm nimekaa nao miaka 5 nawajua vizuri wala hawaringi,wanawapenda Watz Ila usilobe ukakngia mikononi mwa polisi wa kule.
 
Lol kama nilijua tu kuwa sababu ya wao kukichukia kiswahili ni hiyo vita ya Tz na Ug

By the way shilingi yao iko chini kuliko shilingi yetu na nina rafiki yangu aliwahi soma huko aliniambia huku maisha ni ghali kuliko huko yaani kwamba huko maisha ni mepesi kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha kweli kule ni rahisi kidogo kuliko bongo,kule vyakula bei poa,usafiri hamna kujazana kwenye daladala Kama bongo yani kule mnakaa level seat,na pia gari sjui kwa nn wanauza bei rahisi namna hiyo coz unaweza pata gari ya million 3 za Ug gari Kali ambayo huku Tz bila m 10 hupati.
 
Hahahaha mkuu kati ya watu wanaoringa utasema Zari naye anaringa kweli?? Kwanza Zari siyo mganda pure amechanganyika mataifa manne kutoka kwa wazazi wake na ameishi sana South Africa kwahiyo ana uzungu kidogo na wala haringi!!

Mie nawaongelea wale waganda wenyewe pure mwee mwee mwee
Nyie si mnamuangalia sjui Zari ndo mnaona waganda wote wanaringa,mm nimekaa nao miaka 5 nawajua vizuri wala hawaringi,wanawapenda Watz Ila usilobe ukakngia mikononi mwa polisi wa kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umeona sasa mkuu,, kwahiyo mimi binafsi siwezi kuishi nchi ambayo Tanzania tumeizidi kimaisha kwangu mimi ni sawa na kuruka jivu halafu eti nikanyage moto..
Maisha kweli kule ni rahisi kidogo kuliko bongo,kule vyakula bei poa,usafiri hamna kujazana kwenye daladala Kama bongo yani kule mnakaa level seat,na pia gari sjui kwa nn wanauza bei rahisi namna hiyo coz unaweza pata gari ya million 3 za Ug gari Kali ambayo huku Tz bila m 10 hupati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh , hii Hali ya hewa inaruhusu sana !

IMG_5709.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom