Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Hao ni Askari tu Ila raia wako poa wanatukubali sana Watz.
Hao ni Askari tu Ila raia wako poa wanatukubali sana Watz.
Yo missed [emoji7][emoji1][emoji1][emoji1][emoji111][emoji111][emoji123][emoji109]
Jr[emoji769]
Asee!wakishajua ww ni Mtz ukiingia mikononi mwao utajuta,walinyang'anya cm ,pesa nikawa Sina namna ya kuwasiliana na mtu yeyote aje anidhamini
Nope to my knowledge Uganda wako chini yetu kiuchumi na kimaisha pia,, halafu nasikia ni wabaguzi na hawapendi kiswahili..
Honestly I can't live in such a country
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mimi au wewe jamani kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa siku hizi mmeshindikana[emoji134][emoji134][emoji134]Gud nite dogo
Nani mtoto?Watoto wa siku hizi mmeshindikana[emoji134][emoji134][emoji134]
Abee mdogo wangu mzuri mzuri jamani, nini ninacho eti cha kukunyima mpenzi wangu
Hapana jamani dear[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] naona umekuwa mkwepu jr tu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kutokuelewana lugha no!!askari wa kule wana roho mbaya na karibia Askari wote huko wanajua kiswahiliLabda hamkuelewana lugha tu. Binafsi hawajawahi kunizingua.
Ughonile mamaHeaven Sent [emoji3590]
Kiuchumi kweli wako chini kidogo but hatujatofautiana saana,kuhusu ubaguzi hapana sio wabaguz Ila polisi ndo wabaguzi Ila raia wanatukubali sana wabongo na wanapenda kujifunza kiswahili.
Hao ni Askari tu Ila raia wako poa wanatukubali sana Watz.
Lol una uhakika mmewazidi kiuchumi na kimaisha? Do your homework ushangae.
Kwenye issue ya kiswahili, kwanza ni kati ya lugha rasmi za hii nchi. Wachache wanaokichukia ni kwa sababu kinawakumbusha ufirauni waliofanya wanajeshi wa Tanzania kipindi cha vita yenu na Amin. Kwa wachache, kiswahili ni kumbukumbu ya wizi, ubakaji, na uonevu kwa raia, uliofanywa na wanajeshi wa Tanzania.
Hapana jamani dear
Ughonile mama
Sio kutokuelewana lugha no!!askari wa kule wana roho mbaya na karibia Askari wote huko wanajua kiswahili