Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mighty flier! That's @cadey

Jr[emoji769]
B056B8F2-A466-4549-84EF-5DBDCF390920.jpeg
 
Jamani jamani mbona sikuona mimi,, nifanyie tena mpango nakuomba.. [emoji85][emoji85]

Tatizo tunaotumia app tunapata tabu sana kwenye notifications,, sijui shida nini.. [emoji2296][emoji2296]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi tatizo limezidi.
Nimetutag Kwenye nyuzi kibao ila sidhani Kama umeona.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mabilionea nao wana stress sometimes. Tusameheane na kuchukuliana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huyu ndugu ana shida mahali itakua..Msongo.
Mimi hakuna sehemu niliyomkwaza kabisa. Nilikua namwambia tu kua Jesus was a smartest person.
Ndio kaanza kutoa matusi.
Inashangaza sana aisee
Hasira zake kaamua azilete humu 🤒🤒
 
Back
Top Bottom