Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitarudisha ukisharudisha ya kwako kule

Sent using Jamii Forums mobile app
Vimiguu vizuri zuri!
Screenshot_20200126-141806-picsay.jpeg
 
Nini shida hadi leo kutukana hivi sijawahi kukuona unatoa maneno makali kiasi hichi Jamaniii 😢😢😢
Huyu ndugu ana shida mahali itakua..Msongo.
Mimi hakuna sehemu niliyomkwaza kabisa. Nilikua namwambia tu kua Jesus was a smartest person.
Ndio kaanza kutoa matusi.
Inashangaza sana aisee
 
Back
Top Bottom