Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu sidhani kama una sura mbaya kiasi hiko,, hebu weka picha tuone..
Kiranga Cha Ngeda Hashim Rungwe Spunda.

Kitisho cha watoto wadogo wasiotaka kulala mapema.

Yani wakikataa kulala mama anasema "ntakuitia Kiranga" , mara tu wanaogopa wanaenda kulala.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie huwa naishi popote sina shida kabisa,, ila tu hiyo sehemu kuwe na maji, umeme na mtandao na kusiwe na wanyama wakali, wadudu hatari wala vibaka basi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napenda porini...yaani kuwe kimya kumetulia.
Bahati mbaya Sana sijabahatika kuishi huko[emoji1787][emoji1787]naishi uswahilini kelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Mbona hamuweki picha
IMG-20200125-WA0053.jpeg

Jr[emoji769]
 
Kweli wengine hatuna nyota yaani tukiomba picha zilizofutwa hatutumiwi ila wengine wakiomba fasta tu daah [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjini hapa[emoji23]..Sio unashangaa shangaa Hadi zinapostiwa upya na zinakupita[emoji1787].
Unaachwa na gari stendi haki ya Nani nafurahi bure[emoji3526]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie kusema kweli maeneo ya kwanza ninapopenda kuishi ni karibu na bahari yaani napenda nikitoka tu nje ya geti langu ufukwe huu hapa,, baada ya bahari sasa ndiyo napenda maeneo yaliyo karibu na milima yaani napenda nikitoka tu nje ya nyumba yangu mbele yangu nitazame bonge moja la mlima..
Mimi napenda porini...yaani kuwe kimya kumetulia.
Bahati mbaya Sana sijabahatika kuishi huko[emoji1787][emoji1787]naishi uswahilini kelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie kusema kweli maeneo ya kwanza ninapopenda kuishi ni karibu na bahari yaani napenda nikitoka tu nje ya geti langu ufukwe huu hapa,, baada ya bahari sasa ndiyo napenda maeneo yaliyo karibu na milima yaani napenda nikitoka tu nje ya nyumba yangu mbele yangu nitazame bonge moja la mlima..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko milimani ndio kuzuri Sasa.
Baharini nikafanye Nini hata kuogelea sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom