Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzenu leo ananung'unika JF kwenye majukwaa yote kuwa mmemtaja jina lake,, sasa bahati mbaya ananilalamikia mimi mtu ambaye si sahihi badala ya kuwalalamikia ninyi.. [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimefanya nini tena??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa yeye alitakiwa aje alalamike kule,anaendaje kulalamika majukwaa mengine?
Saint anne mama hebu njoo kwanza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa yeye alitakiwa aje alalamike kule,anaendaje kulalamika majukwaa mengine?
Saint anne mama hebu njoo kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si ndio hapo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee[emoji119][emoji119]
Kuna picha fulani niliwahi ona sehemu umeweka.
We jamaa aisee hizo kufuru Sasa..

Tupia nyingine tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu walikuwa wanabisha kwamba ni yangu, walifikiri nimedownload kwenye internet, na nilijua watabisha. Nikawaambia angalieni vizuri mtaona kuna sahihi nimeweka "KIRANGA".

Hugo Boss..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…