Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Ha ha inakuja
Ha ha inakuja
Nitag wakati natafuta ya kuwekaEmbu weka moja wakati nikiendelea kutafuta ili nikutag
Weka basi na ww ya kwako maana umeifuta kabla sjaona.Nafurahi kujua maana hata mimi napenda sana pia.
Umependeza Tojo. Yo smart and attractive.
Nimetamani kuona ulichovaa juu.
Weee!!!Kuna watu wakiunganisha dots tu najulikana na itakua hatari kwa usalama wangu.
Weka dk 1 tu na kutoaWeee!!!Kuna watu wakiunganisha dots tu najulikana na itakua hatari kwa usalama wangu.
Hapo bafu la juu tu, sijashuka la chini bado.
You Only Live Once.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sura ipo kwenye picha ya pili kwenye reflection ya piano amesmile
Ewaaaa, jamani.. na huu ugwadu na hii baridi ni hatari


Anza ww kuweka ya kwako dak 1 tuone then na mm ntafuata
Mimi nachagua mlimani.
Tena kuwe porini kabisa hakuna watu wengi..
Upepo nitaupata milimani hukohuko.
Bahari ya Nini kwangu hata kuoga mtoni sijawahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani pale namtoa bradha tu..
Nyie wengine wote hakuna aliyenitetea
Sasa tunatesa kwa zamu..najua picha ya Paula imekupita
Sent using Jamii Forums mobile app