Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Karma si unaona nimeandika sio MIMI[emoji4][emoji4]?
Nisamehe Baby girl, nitaweka nyingine.
Kule Kwenye Uzi nilisema ndege nitazimia,
Utadhani Sio wewe uliyeshadadia kusema kwamba hata heaven sent aliniquote[emoji18]
Ooops, My Bad, sikujua hata kama ni wewe. Nakumbuka kumwambia mtu pole ila sikumbuki ni Username gani.
Mea Culpa Miss.
Mwache apambane na Hali yake[emoji1787][emoji1787]
Karma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona ee,hawa wasojulikana wanatupa stress hatuna Uhuru kivile Kama zamani.Ni muhimu kujikinga na hatari Tojo.
Wala usiwe na wasiwasi.
Alipitwa kizembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule Kwenye Uzi nilisema ndege nitazimia,
Sasa boti nahisi nitakufa kabisa[emoji1787]
Yaani nikaelee Kwenye maji???
Haki siwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Utadhani Sio wewe uliyeshadadia kusema kwamba hata heaven sent aliniquote[emoji18]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za humu?.... Huu mtandao nilio hamia ata ku-upload picha ni shidaView attachment 1334514
Na sitakupa ng'oo[emoji1787][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] wallahi nakupiga mgumi sasa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nikaelee Kwenye maji Mimi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa basi we ni changamoto
Sent using Jamii Forums mobile app