Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niliomba mimi jana ipostiwe upya nikaishia kuambiwa tu "pole" ila nimeona kuna mtu kaomba leo imepostiwa upya,, tatizo nyota..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo pole maana ulijidai uko busy kugongelea nyundo kule ,halafu kumbe tunakuacha na gari stendi

Basi Mimi nafurahije jamani
Halafu Mimi ninazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaa si unaenjoy upepo,, sasa kwa mfano na hili joto la Dar sisi tulio karibu na bahari ndiyo angalau tunaenjoy kaupepo joto linapungua kuliko wale wanaoishi kule kama unatoka nje ya mji..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio matatizo ya kuishi dar.

Kipindi Cha baridi huku milimani full upepo .kwanza huwa hakuna joto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ah kumbe unazo sasa kinachotufanya tunaendelea kupigishana kelele hapa kuharibu uzi wa watu ni kitu gani,, hebu twende kule ukanifanyie mpango..
Ndiyo pole maana ulijidai uko busy kugongelea nyundo kule ,halafu kumbe tunakuacha na gari stendi

Basi Mimi nafurahije jamani
Halafu Mimi ninazo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah mie napenda vyote bahari na milima ila nikiambiwa nichague kimoja basi bahari ndiyo cha kwanza,, I love oceans.. I am Moana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nachagua mlimani.
Tena kuwe porini kabisa hakuna watu wengi..
Upepo nitaupata milimani hukohuko.
Bahari ya Nini kwangu hata kuoga mtoni sijawahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kati ya watu walioshikilia bango na mimi unaweza ukaniweka kweli jamani,, hapo umenionea kwa kweli.. numbisa na carbamazepine ndiyo walishikilia bango

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani pale namtoa bradha tu..
Nyie wengine wote hakuna aliyenitetea
Sasa tunatesa kwa zamu..najua picha ya Paula imekupita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1578117482328.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom