moja kati ya kitu ambacho google wananifurahisha katika google map ni timeline update.
hii kitu inafanya kazi very accurately. haidanganyi wala wewe huwezi kuidanganya. labda ufanye hivyo ukiwa unatumia simu ambayo imefanyiwa rooting(kwa wale watundu wa kucheza na simu).