Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nataka kuifananisha na White House Down
Kuna muvi nimesahau jina watoto wa shule walienda HW. Moja ya watoto baba ake alikua anafanya kazi hapo kwenye idara ya Usalama. Magaidi wakatumia nafasi hiyo ya watoto kufanya yao humo ndani.
Huyo mtoto na dingi ake walipigania VIP anatoka mzimaaa..
Ila HW ilibomoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuache kuita majina ya kushusha watoto thamani pindi wanapokua wadogo..ndio kinachotokea hiki. Mwisho unazlishi watu kama Joker
Majina huumba kweli. Hata haya tunayojiita mitandaoni.

Halafu bado sijaangalia movie ya Jokar. Halafu ni Jana nasikia actor aliye act kama joker kawa arrested. Nikasema nitatafuta movie nikasahau.
 
Majina huumba kweli. Hata haya tunayojiita mitandaoni.

Halafu bado sijaangalia movie ya Jokar. Halafu ni Jana nasikia actor aliye act kama joker kawa arrested. Nikasema nitatafuta movie nikasahau.
Habari ya mwisho kuisikia kuhusu Jaquin phoenix ni kuhusu juzi kushinda tuzo za Globe award.. hii ya kua arrested sijaisikia.
Hafu Joker hata sio nzuri ki hivo sema tu ni charracter ambae comics zake zinapendwa
 
Lunch
IMG_20200112_130712_474.JPG
 
Back
Top Bottom